Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama.cole vile

Usiku mwema pia carba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakutag sehem ukasome ubuyu uunge dots,ngoja nikanywe savanna kwanza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mnaitwa nyumbani kumenoga. Mnashutumiwa kuwa mmetelekeza mkoa japo mmesoma sana [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 870375
SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA) - JamiiForums

SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA)
Mkuu heshima yako.
Nimekufuatilia kwa muda mrefu sana kwenye mijadala ya lugha/vitabu, najua Waswahili ni wavivu wa kusoma maandiko marefu, fanya ufanyavyo kuupamba uzi wetu kwa vitu kama alivyo vifanya mkuu The wiseman. Ni ombi tu ikiwa itawezekana.
 
Umejikuta tu uko bussy siku nzima katika mipangilio yako ya kazi? Umekuwa ukivuta muda mara nyingi?

Kama jibu kako ni ndio, Hutumii muda wako vizuri. Inaonekana kwamba umefungwa akili yako kwenye hio hali uliyonayo sasa. Na kazi hio ndio inakula muda wako na nguvu zako nyingi.

Kwa mfano. Unaamini kwamba kucheki emails zako zinakupa matokeo mazuri au kukaa kwako kwenye mikutano mingi? Unaweza kufikiria hivyo. Lakini mwisho wa siku ni kiasi gani cha kazi yenye faida kwako umekamilisha?
 
SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA) - JamiiForums

SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA)
Mkuu heshima yako.
Nimekufuatilia kwa muda mrefu sana kwenye mijadala ya lugha/vitabu, najua Waswahili ni wavivu wa kusoma maandiko marefu, fanya ufanyavyo kuupamba uzi wetu kwa vitu kama alivyo vifanya mkuu The wiseman. Ni ombi tu ikiwa itawezekana.
Ujumbe huu ni wangu ama?

Kama ni wangu, bahati mbaya sana vitabu vya Kiswahili sinavyo kwenye soft copy (japo vingi ninavyo kwenye hard copy kwa sababu napenda kusoma sana). Vitabu vya kizungu naweza kuvipata vya kila aina lakini vya Kiswahili bado ni vigumu kwa sababu vingi havijawa kwenye soft copy.

Kutokana na makala zake hapa, Numbisa pengine anaweza akawa na fununu na mahali pa kuvipata vitabu hivi kwenye soft copy.
 
Kwa bahati nzuri , umeona kabisa kwa kifupi tu kwamba , inawezekana kupunguza vitu visivyo na umuhimu ambavyo vinajaza nafasi yako na kukosa kufanya vitu vinavyokuletea mafanikio . Ingawa kila mtu kabla alipitia huko na kupoteza muda mwingi kwenye kazi za watu wengine.

Unaweza ukawa ni moja ya watu ambao wanaona kupungua katika utendaji wao wa kazi kutokana na kujali sana mambo ya mitandao , Ni kweli lakini usijisikie vibaya. Kila mtu huwa anapotea karibu kila mara kwenye maisha. Na hii ni kwa sababu , kama tutaweza kuwa wakweli ni rahisi kuweza kufanya vitu vya muhimu zaidi kuliko kufanya mambo yasio na msingi katika maisha yetu.
 
Ni jumamosi asubuhi na unajisikia kuchoka , Na ndio kwanza hutaki kwenda kazini kumalizia kazi ambazo ni za muhimu. Mara unaamua kwenda kupata kahawa nje ya ofisi yako. Ingawa umeingia kwenye mtego mbaya ambao haukuwezeshi kufanikisha malengo yako, umeshindwa kufanya kitu chako kiwe na kipaumbele kwako. Kwa sababu hio , nakuambia kuwa bado unafanya kazi ambayo sio muhimu katika maisha yako.

Kwa mfano ni mara ngapi unafanya kitu chako mwenyewe asubuhi unapoamka kama sio kuchungulia meseji kwenye smart phone yako, kucheki instagram, facebook na vingine. Jibu hapa ni ndio , unafanya hivyo kabla ya kazi zako za muhimu. Kwa kesi hio unajikuta unapoteza saa nzima kwa kupitia hivyo vitu visivyo na maana katika maisha yako, unajikuta hujacheki malengo yako. Wakati mwingine unajikuta vijiweni kuongea umbea wa wanawake au wanaume , na hio ndio unaiita mikutano yako. Ukijakukumbuka muda umepita hujafanya chochote kinachohusu malengo yako.
 
Sifahamu kuhusu wewe, lakini mimi nimeona baadhi ya watu wanapenda kukusanyika kwa ajili ya kudiscuss, kuwepo, ili kutatua matatizo .

Lakini kuna kesi nyingi ambazo nimeona watu wakipoteza muda kwenye hio mikutano bila ya sababu za msingi. Unapoteza muda wako na muda wa wengine.

Ingawa kuna mikutano mingine ya muhimu , lakini mingi sio ya muhimu. ni kupotezeana muda tu.

Kila kitu katika maisha kina matatizo yake. na hii inatokana na jinsi unavyofanya kazi zako.

Kama unatumia muda mwingi katika kufanya kazi ambazo sio za muhimu, Hutaweza kuona matokeo makubwa. Kusema kweli, Uzalishaji wako utakwama. Kwa sababu muda wako umekuwa ukiliwa kwa kujaribu kufanya kazi ya mtu mwingine kusubiri ulipwe mshahara. Sehemu mbaya zaidi ni hii, utajikuta umepoteza muda wako , umri umeenda, hujafanya chochote katika malengo yako
 
Utafanyaje kuondokana na hili tatizo?

Tafuta ujasiri wa kuondoka katika mtego huo. Haijalishi una kazi gani, hutaweza kutumia muda vizuri, masaa yako utatumia kwenye kazi ya mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako. utashuka thamani kila siku, hutakamilisha lengo lako.

Ukiweza kupata ujasiri tu wa kufanya kitu chako mwenyewe, tayari utakuwa umeokoa muda wako. Utafanya kitu kilicho sahihi, kitu ambacho tunakiita KAZI sio Kibarua.

Kumbuka kama umekwama mahali huelewi kitu cha kufanya. Unaona kabisa kazi uliyonayo huna furaha nayo, Una malengo hujayafanyia kazi, Ongea na bosi wako kuhusu kazi yake. Fanya kwa masaa 6 tu na kwa uhakika na kwa juhudi zote. kisha uwe na lengo, fanya kwa mkataba . jiwekee mipango ya kufanya kazi. Ukifanya kwa uaminifu, muda wa miaka mitatu tu, Utapata kazi yako mwenyewe.
 
Waamuzi 16

27 Basi nyumba ile ilikuwa imejaa watu waume kwa wake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu waume kwa wake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.
28 Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.
29 Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
30 Samsoni akasema; Na nife pamoja na hawa Wafilisti. Akainama kwa nguvu zake zote; ile nyumba ikawaangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwa ndani yake. Basi wale watu aliowaua wakati wa kufa kwake walikuwa wengi kuliko wale aliowaua wakati wa uhai wake.
Safi sana mkuu uko makini na bible
 
Za kiswahili hamna softcopy labda zile za mapenzi napo zimejaa play store unakuta hata haiishi mpaka mwisho wanakua wameweka kama ka mtego usome unogewe kisha namba inabandikwa hapo utume pesa akutumie watsup au kwenye email simulizi nzima
Ujumbe huu ni wangu ama?

Kama ni wangu, bahati mbaya sana vitabu vya Kiswahili sinavyo kwenye soft copy (japo vingi ninavyo kwenye hard copy kwa sababu napenda kusoma sana). Vitabu vya kizungu naweza kuvipata vya kila aina lakini vya Kiswahili bado ni vigumu kwa sababu vingi havijawa kwenye soft copy.

Kutokana na makala zake hapa, Numbisa pengine anaweza akawa na fununu na mahali pa kuvipata vitabu hivi kwenye soft copy.
 
tapatalk_1537199473378.jpeg
 
Maswali ya kizushi kutokana na mkasa huu wa kusikitisha: Samsoni alipata faida gani kwa kuua watu wengi vile? Ilimsaidia cho chote kwa namna yo yote ile? Tunafaidika kwa namna yo yote ile tunapolipiza visasi kwa watu waliotukosea?
Mkuu shimba buyenze samsoni alishakata tamaa ndio maana aliamua kufa na watu waliomtoboa macho
 
Liverpool XI: Milner, Sturridge, Wijnaldum, J. Henderson, Alisson, Salah, Van Dijk, S. Mané, A.Robertson, Gomez, T. Alexander-Arnold

Subs: S. Mignolet, X. Shaqiri, Matip, Roberto Firmino, Moreno, Fabinho, N.Keita

PSG XI: E. Cavani, Thiago Silva, Á. Di María, T. Meunier, Neymar, A. Areola, Marquinhos, Bernat, Rabiot, P. Kimpembe, K. Mbappé

Subs: L. Diarra, Choupo-Moting, J. Draxler, Kehrer, Sebastien Cibois, Nkunku, Stanley N'Soki
 
Back
Top Bottom