myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Ndivyo ninavyojua pia. Vya Kiswahili bado. Kipindi fulani nilisikia juu ya mradi mkubwa wa kuweka kazi zote za baadhi ya waandishi mashuhuri kama Kezilahabi (Rosa Mistika, Gamba la Nyoka, Kichwamaji, Karibu Ndani, Kichomi, Dhifa, Kaptula la Marx), Mtobwa (Zawadi ya Ushindi, Dar es salaam Usiku, Tutarudi na Roho Zetu...), Musiba (Kikosi cha Kisasi, Njama, Hofu, Hujuma...), Mohammed Said Abdulla (Siri ya Sifuri, Kisima cha Giningi...) na kazi kuu za kimalimwengu zilizotafsiriwa katika Kiswahili kama Safari ya Msafiri, Alan Qurterman, Shamba la Wanyama na nyinginezo. Nitajaribu kuulizia kama mradi huo ulifanikiwa na kama vitabu hivyo vinapatikana katika soft copy tayari.Za kiswahili hamna softcopy labda zile za mapenzi napo zimejaa play store unakuta hata haiishi mpaka mwisho wanakua wameweka kama ka mtego usome unogewe kisha namba inabandikwa hapo utume pesa akutumie watsup au kwenye email simulizi nzima
Ukiangalia vizuri nadhani lengo lake pia ilikuwa ni kulipiza kisasi. Na Mungu Akamruhusu.Mkuu shimba buyenze samsoni alishakata tamaa ndio maana aliamua kufa na watu waliomtoboa macho
Kwa hiyo hapo utashindwa uchague yupi na uache yupi. Na multiple choice unaweza kufumba macho tu au kujitengenezea pattern yako mwenyewe na ukatoboa [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi multiple choice nlikua sijibu kama swali halieleweki! Na kwa style hii ya maswali shule nishashindwa mapema mnoo.
👍👍👍This is a real African woman right here...
View attachment 870376
Ndiyo siasa mkuu. Mchezo wa mbinu - halali na haramu - ili kumdhoofisha mpinzani wako kwa hali yo yote ile.Lakini nimejifunza kwamba hii ilimfanya jpm kupiga marufuku siasa za majukwaani kwa sababu hapa ccm ilikuwa inaelekea kufa maana upinzani hasa chadema walipiga oparetion nyingi sana za siasa zilizofanya wananchi kukipenda
Jiwe na ccm wenzake wakaona wapige stop siasa za majukwaani mpaka uchaguzi mwingine
Duh!!
"Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"Pale wababe wanapopunguza ubabe waoView attachment 870407
He is a cowardLakini nimejifunza kwamba hii ilimfanya jpm kupiga marufuku siasa za majukwaani kwa sababu hapa ccm ilikuwa inaelekea kufa maana upinzani hasa chadema walipiga oparetion nyingi sana za siasa zilizofanya wananchi kukipenda
Jiwe na ccm wenzake wakaona wapige stop siasa za majukwaani mpaka uchaguzi mwingine
2015 haitakaa ijirudie tena. Hata sijui tu ilikuwaje.Walivyoshindwa 2015 tu hamna namna tena walahi
Strategically (and historically speaking)... cowards sometimes can be heroes (and vice versa)...[emoji85][emoji85][emoji85]He is a coward
Mi naamini kama siasa ya upinzani isingepigwa marufuku kote nchini2015 haitakaa ijirudie tena. Hata sijui tu ilikuwaje.