Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
9:0108:51
9:0108:51
HII ni ya chato nn😀
Salama tu Sijui ww uko pwHabari zenu
Sawa😎Pata likes mkuu
KweliVisivyo vya maana vinadumu
AminaTUOMBE
Baba ktk jina la Yesu tuna kila sababu ya kusema asante kwa kuwa umetupa neema ya kuiona J5 hii ya Leo tarehe 19/09/2018.Haikuwa rahisi kuiona siku hii bali ni kwa ajili ya mapenzi yako Baba.
Eeeh Mungu Baba muumba mbingu na dunia wewe ndiye mchungaji wetu tunaomba utusamehe makosa yetu kwani tunahitaji kuwa na wewe milele.Tunaomba utubariki wanao ili tusikate tamaa ya kukufuata wewe na kukutii.
Baba tunasema asante kwani bila mkono wako tusingefika au kuwa hivi Leo,tunaomba uendelee kutushika usituache ktk kazi zetu na maisha yetu kwa ujumla.Utujalie moyo wa upendo kama msamalia ili nasi tukawajalie wengine.
Tunaomba hayo na kushukuru kwa njia ya Kristo Bwana wetu,AMINA.
Muwe na siku njema wapendwa wote ktk Bwana[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
9:5508:51
Amina!!TUOMBE