Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa na maji mengi, bahari maziwa kadhaa na mito mikubwa, kwa sababu hiyo tuna watu wengi wanaosafiri majini. Kwakuwa hivyo ndivyo serikali kupitia kwa wakala wa ufundi na umeme TEMESA ijitahidi kukagua vivuko na vyombo vingine vya majini na kununua vyombo vya kisasa vya uokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…