Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila wazungu noma. NASA imeomba watu walio tayari kwenda Mars kwa safari isiyo na marejeo (one way trip) na watu wamemiminika mpaka wamesitisha zoezi. Jamaa hawaogopi. Ndo maana waliacha makwao na kuja kututawala huku japo walikuwa hata hawajui wanakwenda wapi. Shaaiini kabisa hawa jamaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…