Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1537584957589.jpg
 
Ila wazungu noma. NASA imeomba watu walio tayari kwenda Mars kwa safari isiyo na marejeo (one way trip) na watu wamemiminika mpaka wamesitisha zoezi. Jamaa hawaogopi. Ndo maana waliacha makwao na kuja kututawala huku japo walikuwa hata hawajui wanakwenda wapi. Shaaiini kabisa hawa jamaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bro nauli ilikuwa bei GAni
 
Mbona mimi sijapata sababu mimi naitaka safari ya kwenda Mars
 
Back
Top Bottom