Oa kwanza uzae angalau katoto kamoja ndo uondoke. Huko hata hawajajua kama itawezekana kuzaliana. Hata kugegedana tu kwenywewe hawajui kama inawezekana na kama mtu unaweza kupiga bao likatoka. Bado ngoma mbichi kabisa...Just too many uknown unknowns [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona mimi sijapata sababu mimi naitaka safari ya kwenda Mars
Hahahahaha!! Kama kugegedana tu itakuwa tatizo , sidhani kama mbongo atatamani kwenda huko[emoji23][emoji23]Oa kwanza uzae angalau katoto kamoja ndo uondoke. Huko hata hawajajua kama itawezekana kuzaliana. Hata kugegedana tu kwenywewe hawajui kama inawezekana na kama mtu unaweza kupiga bao likatoka. Bado ngoma mbichi kabisa...Just too many uknowns unknowns [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio.Kwahyo ndiyo unaacha kuanzia leo
Hahahahaha!
Mi hawanipati ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanamwitaga eti kiboko ya Wapalestina [emoji85][emoji85][emoji85]Mtesaji aliyeteseka
Nilikuwa sijui kumbe hata kupiga bao na hata kuogelea kwa sperms kunategemea gravity sahihi. Hata friction ya kugegedana pia. Isitoshe kutokana na kiasi kikubwa cha radiation, itabidi kuwa kwenye suti maalum 24/7.Hahahahaha!! Kama kugegedana tu itakuwa tatizo , sidhani kama mbongo atatamani kwenda huko[emoji23][emoji23]
[emoji344][emoji344][emoji443][emoji445][emoji443]Watanzania jambo?