Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]* "lijimuhogo la haja"Nilikuwa sijui kumbe hata kupiga bao na hata kuogelea kwa sperms kunategemea gravity sahihi. Hata friction ya kugegedana pia. Isitoshe kutokana na kiasi kikubwa cha radiation, itabidi kuwa kwenye suti maalum 24/7.
Wakitaka kutupata wabongo waseme kuwa ukifika Mars tu hata kama una kibamia kinafumuka na kuwa lijimuhogo halafu nguvu za kiume haziishi. Hapo watu watamiminika mpaka wataomba poo...[emoji16][emoji16][emoji16]