Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wamechoka kuona mambo yale yale kila mara. Wanatamani kuzikwa huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ila wazungu noma. NASA imeomba watu walio tayari kwenda Mars kwa safari isiyo na marejeo (one way trip) na watu wamemiminika mpaka wamesitisha zoezi. Jamaa hawaogopi. Ndo maana waliacha makwao na kuja kututawala huku japo walikuwa hata hawajui wanakwenda wapi. Shaaiini kabisa hawa jamaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahaha! TZ
Wako vizuri. Hawaogopi challenges....Wamechoka kuona mambo yale yale kila mara. Wanatamani kuzikwa huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wewe hutumii haya makemikali?Sawa sawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Badilisha jina liwe zuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Challenge ni sehemu ya maishaWako vizuri. Hawaogopi challenges....
Ni vyema mapambano yanaendeleaHuku kwema kabisa. TUMSHUKURU MUNGU wetu daima...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wakisema ujiandikishe wani wei trip kwenda Mars utakubali? Au utaanza kuwaza wake zako utamwachia nani? Na makampuni yako ya utalii? Na....Challenge ni sehemu ya maisha