Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hawa hawatafika popote. Chombo kitaripuka hata kabla hakijafika popote
Bro nauli ilikuwa bei GAniIla wazungu noma. NASA imeomba watu walio tayari kwenda Mars kwa safari isiyo na marejeo (one way trip) na watu wamemiminika mpaka wamesitisha zoezi. Jamaa hawaogopi. Ndo maana waliacha makwao na kuja kututawala huku japo walikuwa hata hawajui wanakwenda wapi. Shaaiini kabisa hawa jamaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nadhani nami nimo.Wewe hutumii haya makemikali?
Mbona mimi sijapata sababu mimi naitaka safari ya kwenda MarsIla wazungu noma. NASA imeomba watu walio tayari kwenda Mars kwa safari isiyo na marejeo (one way trip) na watu wamemiminika mpaka wamesitisha zoezi. Jamaa hawaogopi. Ndo maana waliacha makwao na kuja kututawala huku japo walikuwa hata hawajui wanakwenda wapi. Shaaiini kabisa hawa jamaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijafuatilia vizuri ila nadhani ilikuwa ni bure. Hawa ni wale watakaokwenda kuanzisha makazi huko. Nauli nadhani itakuwa ni kwa watalii...Bro nauli ilikuwa bei GAni
Nadhani nami nimo.
Kwahyo ndiyo unaacha kuanzia leoSawa sawa.
Wamependekeza njia karibu nne ila zote zinategemea na muda watakaogundua kuwa kuna hilo likimwondo linakuja...