Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni pasua kichwa kwa kweli!Ukapela tena?nsamaka je?au andjul kashamrudia?
Tayari nini?Tayari.....
Rafiki umekosea hapo ungesema nina tabia mbaya ili wakae mbali kabisa tuanje kutafuta pesa si unakumbuka ule mkopo wako wa 300Millions mwaka juzi ulivyo umaliza bar siku moja ukakaribia kufungwaShemeji nimemuambia wewe hauna tabia mbaya kabisa
HhhahahaahJamani tukimbizeni uzi
Jaribu. Utakapoishia ndipo hapo uishie!Mpo mbali sijui kama nitaweza kusoma comments elfu tatu na upuuzi
1. Cole WilliamsWataje wAjijue ita wasaidia mkuu
Poa habari ya weweUpo shogare za tangu asubuhi
Huko sipo kabisa ho chi minh karibia hapoHata nsamaka humtaki tena?
Hello hellooo
Ha ha ha ha ha ha haNdio nini usingizi wa jioni hadi mida hii
Niote like
Unatia huruma ujue?Huko sipo kabisa ho chi minh karibia hapo