eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,432 Lia na wanaolia Omboleza na wanaoomboleza Ila utambue sio kwenye misiba tu Bali ni kwa wote wanaopitia matatizo yasiyoisha
Lia na wanaolia Omboleza na wanaoomboleza Ila utambue sio kwenye misiba tu Bali ni kwa wote wanaopitia matatizo yasiyoisha
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,433 Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,434 Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,435 Heri walio na huruma, maana watahurumiwa
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,436 Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,437 Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu, na kuwasingizia kila aina ya uovu, furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni
Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu, na kuwasingizia kila aina ya uovu, furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,438 Ukisema ndiyo, basi na iwe ndiyo Ukisema siyo, basi iwe kweli siyo Ukizidisha Hapo we ni mdogo wake na shetani
Ukisema ndiyo, basi na iwe ndiyo Ukisema siyo, basi iwe kweli siyo Ukizidisha Hapo we ni mdogo wake na shetani
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Sep 22, 2018 #815,439 Kukosa usingizi juu ya Mali humdhoofisha mtu