Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

topgif.gif
 
Na hasa kichaa anaponyakua nguo zako ili hali unaoga na ukaanza kumkimbiza ukiwa uchi, watazamaji wataamini yakuwa kichaa ni wewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Au lijanasiasa lile lile ulilokuwa ukilishambulia na kuliita jizi kuu kwa miaka nenda miaka rudi halafu vu bin vu unalikabidhi chama; watazamaji makini wataamini ya kuwa umechizika...
 
Back
Top Bottom