Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kipigo cha mbwa koko duh !!!Cardiff City 0-5 Man City
Kipigo cha mbwa koko duh !!!Cardiff City 0-5 Man City
PoleNiko kwenye majonzi makubwa sana
Mkuu pole sana. Mwenyenzi Mungu akupe SubiraUhakika sasa ndugu zangu watatu wametangulia mbele ya haki
Sana walahiMkuu kwani kichaga cha Marangu kinatofatiana na Kimachame, Rombo, Vunjo, Uru na Kibosho?
Si kosa kunyoosheana vidole ili siku zijazo kuwa waangalifuOverloading ,uchakavu wa kivuko ,poor management or whatever lakini hatuwezi kurudisha uhai wa waliokufa
Mkuu nimepoteza watatuPole sana mkuu. I hope hujapoteza mtu wa karibu.
AminMwanga wa milele uwaangazie ee bwana wapumzike kwa Amani
Ote ndao kanyi si ya kwako hiyo ni ya Yule jamaa walahi uwiiiAika mai
[emoji3] [emoji3] mwegelooObsession [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mkuuMkuu habari, Pole kwa tukio la ukerewe
Duh haki ya Mola wangu walahi!Mkuu nimepoteza watatu
Kumbe lugha yenyewe haijulikani ulijuaje kuwa ni tusi mkuu?Isis nimegusa moyo wako
Halafu umetukana hapa
Hii ni Lugha ya kabila gani
At least hii inanifanya niwe na nguvu kidogoLiverpool 3- 0 SouthamptonView attachment 874727
Kuna tofauti kubwa tu japo wote wachagaMkuu kwani kichaga cha Marangu kinatofatiana na Kimachame, Rombo, Vunjo, Uru na Kibosho?
Asante mkuu
POLE SANA MKUUUhakika sasa ndugu zangu watatu wametangulia mbele ya haki
My loveOte ndao kanyi si ya kwako hiyo ni ya Yule jamaa walahi uwiii
At least hii inanifanya niwe na nguvu kidogo