Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee R.i.p; wivu wa mapenzi mbaya sana
 
Kwa hili hapana. Nimeshafika vichochoro vya kila aina ila hili la kuweka nyaya za umeme wa moto kwenye mti hai hapana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu SYB binafsi sijui historia ya hiyo picha, lakini kwa mengi niliyojionea picha hiyo ni cha mtoto.
Katika Tanzania kile ulichosomea darasani sicho utachokuta mtaani. Uchafu unaouona kwenye maeneo mengine pia upo kwenye tasnia ya umeme.
Kama utafika Dar naomba ufike Tandika mtaa wa Chihota, ni hadharani kabisa, kwenye huo mtaa kuna Transfoma ambayo kama kawaida imepokea high voltage ya 33kva na hushusha LV ya 415v. Transfoma hiyo pamoja na umeme wake huo mkali ambao ni live 24/7 chini ni ya hizo nyaya za 415v zimepangwa enga zikiwa na mashati, chupi, shumizi nk. Nguo zimejaa kiasi huwezi kuziona hata HRC FUSE za hiyo Transfoma. Chini kabisa wafanyabiashara wanapiga soga wala wasijue hatari iliyo mbele yao.
Ningeweza kukupigia picha lakini nachelea pia utasema photoshop. Naomba niishie hapa kuhusu mjadala huu
 
Wasukuma wako hivyo. Hata akikuambia kuwa atapiga kimoja tu usikubali. Utakuja kushtuka keshapiga vitatu tena anaunganisha mumo kwa mumo topeni. Wasukuma siyo watu wazuri kwa kweli [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

[emoji3] [emoji3] [emoji3] teh teh teh teh, ndiyo maana wale wanaodanga hawachelewagi kuanzisha timbwili hasa akikutana michezo ya mumo kwa mumo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
s
Shumizi? Hao kinamama waamshe bongo zao sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…