Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Duu Mkuu, hiyo ni hatari! Kwanza hizo 33KV Transformers zinatakiwa ziwe kwenye Substations au kwenye Industrial areas! Mara nyingi 11KV Transformers Ndio zinakuwa mitaani, wao wanaziita, Distribution Transformers!
 
Duu Mkuu, hiyo ni hatari! Kwanza hizo 33KV Transformers zinatakiwa ziwe kwenye Substations au kwenye Industrial areas! Mara nyingi 11KV Transformers Ndio zinakuwa mitaani, wao wanaziita, Distribution Transformers!
Umeguswa kwenye uwanja wako eeh!?

Ila sisi sijui nini tu. Nakwambia hiyo boti iliyobinuka huko ziwani juzi kama ingekuwa ndo huko kwa wenzetu yaani ungeona response nyingine na matokeo tofauti kabisa. Tutafika siku moja bila shaka...
 
Nimekupata kamanda. Mi sijui mambo ya umeme. Hayo ni mambo ya akina Yego wahandisi wa umeme na makalikyulesheni yao ya akina Maxwell na Shroendinger. Nilikuwa nafikiria tu jinsi huyo mfunga umeme anavyoweza kuweka nyaya laivu kwenye mti hai ambao nao unapitisha umeme. Viumbe hai kweli watapona hapo? Mwalimu mmoja kule Mwanza aliparamia mti kumbe umegusana na nyaya za umeme huko juu alizizima hapo hapo bahati nzuri kulikuwa na mtu anayejua haya mambo akamtoa na kwa kutumia mchi akawanyang'anya mabinti waliokuwa wanatwanga hapo uani. Otherwise angekufa. Nafikiria tu hata hao wafungaji watawezaje kufunga hizo nyaya na kuondoka? Ila kwa Bongo everything is possible...

Huko Tandika unakokusema napafahamu sana. Kulikuwa na binti huko rafiki yangu sana miaka ilee...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeguswa kwenye uwanja wako eeh!?

Ila sisi sijui nini tu. Nakwambia hiyo boti iliyobinuka huko ziwani juzi kama ingekuwa ndo huko kwa wenzetu yaani ungeona response mengine na matokeo tofauti kabisa. Tutafika siku moja bila shaka...

Hapana bana, si una google tu! [emoji23][emoji23][emoji23]... Aisee ile ajali imenisikitisha sana! Watu zaidi ya 200 wanaperish just like that!
 
*KWAKO BWANA NAPUMZIKA*

Ee Mungu na Muumba wetu, Asante kwa kunilinda siku nzima ya leo.

Nasema kwa kuwa nami tangu nilipoamka hadi muda huu ninapokwenda kuupumzisha mwili huu.

Ee Mungu, ni wengi tulianza nao siku ya leo kama nilivyoianza mimi, ila kwa mapenzi yako Wewe uliye asili ya uzima wetu, hawakuweza kufikia muda na wakati huu.

Ee Yesu na Mwokozi wetu, tunawaweka mikononi mwako wafiwa wote usiku huu: wajane, wagane, na yatima wote walioachwa. Ee Yesu wajalie faraja ya kweli. Nawe Mama Bikira mfariji wa wenye uchungu, utuombee.

Ninayaomba hayo yote kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina.
 
Duu Mkuu, hiyo ni hatari! Kwanza hizo 33KV Transformers zinatakiwa ziwe kwenye Substations au kwenye Industrial areas! Mara nyingi 11KV Transformers Ndio zinakuwa mitaani, wao wanaziita, Distribution Transformers!
Mkuu nimekosea, naomba radhi kwa hilo. ni 11KV, hata hivyo bado ni hatar,i ukipata nafasi pita eneo hilo ujionee
 

Mkuu hata mimi siyo mjuzi wa mambo haya, hata hivyo kwenye pitapita zangu nimeona uchakachuaji mwingi. Ukibahatika pita Tandika ukaone tukio la wazi wazi mahali ambapo wahandisi wa Tanesco kila siku hupita hapo na kuiacha hali kama ilivyo
 
Hakuna mhandisi wa umeme atakayefunga umeme wa moto kwenye mti hai. Hiyo ni photoshop
mkuu usibishe asee ..achana na hyo picha..

ila mimi mwenyewe nilibisha pale nilipoambiwa pemba ni maskini hadi umeme wanapitisha kwenye miti badala ya nguzo nilibisha sana mpaka pale nilipojionea kwa macho yangu...

nenda pemba mkuu utajionea miti inavyotumika kama nguzo za umeme kule hali na tata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…