Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkoromije orijino akionja ugali

carbamazepine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 876595
Ugali jamani tuacheni utani. Nimeshawahi kubadilisha daktari kisa kunikoromea mara kwa mara eti niache kula ugali mara kwa mara. No ugali no laifu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndiyo imetoka hiyo. Utakumbukwa na nduguzo. Na baada ya muda hata hao nao wanakusahau...Pengine ukiwa mtu uliyetenda makuu...Lakini hata ukikumbukwa na dunia nzima, wewe kama marehemu inakusaidia nini?

Akina Mandela na akina Nyerere. Kukumbukwa kwao kunawasaidia nini kama wao? Mbwembwe tu za binadamu !!!
Mwenyezi Mungu anasema kufa kwetu ni mtililiko mahsusi wa kupeana nafasi hapa Duniani. Tujiulize bibi zetu wawili wangekuwepo ( mzaa baba na mzaa mama) na babu zetu wangekuwepo na wazazi wetu wawepo maisha yatakuwaje? Turidhike tu na hali halisi kama ilivyo
 
3B64F4AC-7E50-4343-A72D-593581FC427B.jpeg
 
Mkoromije orijino akionja ugali

carbamazepine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 876595
Aseee, ugali kama Boflo!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom