Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vijijini huko sidhani kama kuna wahandisiHakuna mhandisi wa umeme atakayefunga umeme wa moto kwenye mti hai. Hiyo ni photoshop
Haters watasema ni photoshop [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sio kweli, kuna watu wanadai kutokuziona maiti za ndg zao mpaka sasa.. Nadhani maiti bado zipo za kutosha.Ina maana shughuli za uokoaji zimeshakoma? Naona hakuna heka heka zi zote hapo.
Just like that 200+ lives lost. Hii dunia hii we acha tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
CerberusMajibwa
Wanajifungia umeme kiholela tu?Vijijini huko sidhani kama kuna wahandisi
Wabhejaaaa
Hiyo picha inaonyesha utulivu na hakuna heka heka zo zote. Halafu inaonekana ni karibu kabisa na ufukwe. Ni kwa vile ilibinuka ghafla na watu wakagndamizwa huko chini au vipi? Watu 212 wamezama hapo kabisa na ardhi inaonekana...Sio kweli, kuna watu wanadai kutokuziona maiti za ndg zao mpaka sasa.. Nadhani maiti bado zipo za kutosha.