Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E87646BC-FE1E-473E-9003-9B2EEE6FF3A0.jpeg
 
Hakuna mhandisi wa umeme atakayefunga umeme wa moto kwenye mti hai. Hiyo ni photoshop
Vijijini hata wahandisi hujivua ufahamu, kuna kisa cha meneja mmoja wa Tanesco mwaka 2004, mkoa furani aliwatuma vishoka waje wavue nyaya zote nguzo zaidi ya 10 zilizopita shamba " Mgombani" , kisa tu kuna tajiri mmoja alimlipa fungu la maana ili ampe umeme kwenye Krismas iliyobakisha siku 3 wakati huo na shirika lilikua na uhaba wa waya
 
Hawawezi kuweka umeme wa moto kwenye mti hai hata wajivue ufahamu namna gani. Kwanza lazima wataleta maafa tu
 
Back
Top Bottom