Aiseeeeeeeeee vibaragaraaaaaaaaaaVisheti [emoji123][emoji123][emoji123]
Mzungu kapata rastafari na rastafari naye kapata "jimama" la kizungu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeme vijijini, Aseeee. Hapo mti uking'oka kwa upepo mtaa mzima hauna umeme
Mambo ni ujiiiiiMzungu kapata rastafari na rastafari naye kapata "jimama" la kizungu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Ooooh karibu sana mkuu, za hukoNimewamiss
Sio mtaa tu kijiji kizimaUmeme vijijini, Aseeee. Hapo mti uking'oka kwa upepo mtaa mzima hauna umeme
Hapo wakipigiana kolabo inabaki siri ya familia sio kwa kopi hizo