Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utafufuka tu. Utakwenda wapi?
Utafufuka tu. Utakwenda wapi?
Siyo vibaragara. Ni visheti !!!
Wahaya na ndizi. Ndizi na Wahaya. Mlo safi kabisa !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Watu wengine nana
Mke ni handicap au ni ushamba tu wa Kisukuma?
Jamaniiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]
Mke ni handicap au ni ushamba tu wa Kisukuma?
Saiv wanashughulika kuvutia ufukweni. Mmh kifo jaman ukifa tu baada ya siku mbili unasahaulikaIna maana shughuli za uokoaji zimeshakoma? Naona hakuna heka heka zi zote hapo.
Just like that 200+ lives lost. Hii dunia hii we acha tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mood ya show kali ya kibabe? Kaisiki bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Vibaragara banaSiyo vibaragara. Ni visheti !!!
Ndiyo imetoka hiyo. Utakumbukwa na nduguzo. Na baada ya muda hata hao nao wanakusahau...Pengine ukiwa mtu uliyetenda makuu...Lakini hata ukikumbukwa na dunia nzima, wewe kama marehemu inakusaidia nini?Saiv wanashughulika kuvutia ufukweni. Mmh kifo jaman ukifa tu baada ya siku mbili unasahaulika
Visheti !!!Vibaragara bana
Inakupa ka sifa tu ka ziada duniani basiNdiyo imetoka hiyo. Utakumbukwa na nduguzo. Na baada ya muda hata hao nao wanakusahau...Pengine ukiwa mtu uliyetenda makuu...Lakini hata ukikumbukwa na dunia nzima, wewe kama marehemu inakusaidia nini?
Bro acha ubishiiiiiiiiVisheti !!!
Visheti [emoji123][emoji123][emoji123]Bro acha ubishiiiiiiii