JF hii ni ya kuacha tu kama ilivyo. Ukiweka picha yako hapa utashambuliwa kama mpira wa kona - hasa ukiwa una hali ya kawaida. May be ukiposti ukiwa kwenye Range Rover japo napo unaweza kuambiwa unajishauaJamaa anaumwa akapost picha yake ,wacha waja wamcheke
Naona mtetezi kaibuka na gazeti
WanaJF asilimia kubwa ni " Wanafiki " , wachache " ndio Wanaojielewa"!! - JamiiForums
Wachafuzi wakubwa wa mazingira hawa jamaa...Norh Mara Gold MineView attachment 877339