Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahaha kweli,wengi wanapenda kuona vitu vizuri tu ndo maana akina sie tunajificha mbaliiiJF hii ni ya kuacha tu kama ilivyo. Ukiweka picha yako hapa utashambuliwa kama mpira wa kona - hasa ukiwa una hali ya kawaida. May be ukiposti ukiwa kwenye Range Rover japo napo unaweza kuambiwa unajishaua
machimbo ya wapi hayoNorh Mara Gold MineView attachment 877339