Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JF hii ni ya kuacha tu kama ilivyo. Ukiweka picha yako hapa utashambuliwa kama mpira wa kona - hasa ukiwa una hali ya kawaida. May be ukiposti ukiwa kwenye Range Rover japo napo unaweza kuambiwa unajishaua
Hahahaha kweli,wengi wanapenda kuona vitu vizuri tu ndo maana akina sie tunajificha mbaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…