Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAZIJUA LUGHA 10 ZENYE WAZUGUMZAJI WENGI ZAIDI DUNIANI?

1.Mandarian (Jamii ya Ki china). Ni lugha mama ya zaidi ya watu milioni 900.

2.Kiingereza. Lugha mama ya watu 335 milioni, na ni lugha ya pili kwa watu milioni 500 duniani kote

3.Kihisponiola.(Spanish) inawazungumzaji milioni 400 duniani kote

4.Kihindi. kinazungumzwa na watu milioni 295 dunia nzima

5.Kiarabu.kinawazungumzaji milioni 280 dunia nzima


6.Kibengali. Ni lugha inayozungumzwa na watu milioni 240 Duniani.

7.Kireno. Wazungumzaji 204 duniani

8.Kirusi. Wazungumzaji 160 milioni.

9.kijapani. Wazungumzaji 127 milioni.


10.Kifaransa.Wazungumzaji 75 milioni. (Lugha mama). Na zaidi ya wazungumzaji milioni mia moja (Lugha ya pili)
 
KILA MTU HUFANYA UJINGA HUU IKIWEMO WEWE HASA UKIWA UMECHOKA! (KUMI)

1.Kuingia kwenye chumba halafu ghafla unasahau uliingia kufanya nini, ukiamua kutoka tu, unakumbuka!

2.Kuangalia saa na baada ya kuondoa macho tu kwenye saa, unasahau ilikuwa saa ngapi! Na inakubidi uangalie tena!

3.Kukubaliana na mtu kwa kutikisa kichwa kumbe hata hujasikia kakuambia nini. Unaombea tu asije akawa amekuuliza swali

4.Unatembea katikati ya watu mara ghafla unagundua umekosea njia, Unajidai umesahau kitu au kuangalia simu yako na kuanza kurudi kwa kasi!


5.Unabishana kichwani kwako mwenyewe mpaka unapata hasira, baadae unagundua ni mawazo tu na kujiona mjinga!
 
6. Betri za rimoti yako zimekwisha unaamua kuminya batani za rimoti kwa nguvu zaidi ukihisi itasaidia!

7.Unaambiwa kitu Fulani ni cha moto, unaamua kugusa na unaungua kweli!

8. Unajikwaa au kujigonga sehemu na unaanza kutukana ukihisi sehemu hiyo inakusikia

9 Kujiangalia kwenye kioo cha jengo na kusahau kuwa kuna watu ndani ya jengo na wanakuagalia


10. Unabisha kwamba hujalala (huko usingizini) na unasikia kila kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia!
 
REKODI KUMI ZA KIJINGA ZAIDI ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI CHA “GUINNESS”

1.Vijiko Vingi zaidi kwenye mwili wa Binadamu.
Disemba 28 mwaka 2013, Etibar Elchiyev aliweka vijiko 53 mwilini mwake akiwa amesimama wima na kuvunja rekodi yake mwenyewe!













2.Mtu aliyeolewa mara nyingi zaidi!
Linda Lou Taylor wa jimbo la Indiana nchini marekani, anashikilia rekodi ya kuolewa mara nyingi zaidi akiwa ameolewa mara 23!. Ana miaka 69 kwa sasa na amekuwa akisisitiza kutaka kuolewa kwani hana mpenzi kwa zaidi ya miaka kumi sasa!









3.Watu wengi zaidi Kupiga Mswaki kwa wakati mmoja.
Katika mji wa Manila Nchini Philippines, wanafunzi 10,800 walikusanyika pamoja kupiga mswaki na kutema kwenye kikombe kwa wakati mmoja!












4.Mbwa aliyebeba glass na kutembea umbali Mrefu zaidi.
Usishangae! Wanyama nao wamo. Mmbwa mmoja wa Australia anashikilia rekodi ya kutembea hatua kumi mbele na hatua kumi nyuma akiwa na glass ya maji kichwani!










5.Nywele Ndefu zaidi za Masikioni.
Agosti 26 mwaka 2007, Anthony Victor wa Maduri India, aliweka rekodi ya dunia kuwa binadamu mwenye nywele ndefu zaidi za masikioni zikiwa zimefikia nchi 7!
Nimekubali ni rekodi za kijika kabisa
 
LAZIMA HUWA UNAFANYA MOJA YA VITU HIVI UNAPOHISI HAKUNA ANAYEKUONA!

1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.

2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.

3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa, na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!

4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk) ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!

5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia unaonekanaje!
 
6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu


10. Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
 
6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu


10. Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
Kukojoa wakati was kuoga haina mbabe
 
293582F9-2473-4731-9933-CB0C36D93651.png
 
Back
Top Bottom