ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Utasema ulipanda pikipiki ikapita karibu na roli limepakia mabati?Wake za watu wana gharama zao bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 881093
Utasema ulipanda pikipiki ikapita karibu na roli limepakia mabati?Wake za watu wana gharama zao bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 881093
Unaweza kucheka ingawa si jambo LA kicheka hiliWake za watu wana gharama zao bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 881093
Kweli kabisaAmani itawale siku yetu
Hahahahaha!! Lazima kuchafukeKuna ngumi huko mbeleni
13:3811:08
Inakimbia hatariWeekend imeshika kasi
Kuku kwenye mchele wengiUsitake nimwage mchele kwenye kuku Wengi najua wajua
Sarawili neneMbeya MojaView attachment 881045
Nioe sababu ya kupikiwa broKwa picha hizi bro oa tu kwa kweli. Harusi nitachangia bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Zimefika mkuuSalaam Tanzania
SalamaSalaaam uzi wa likes
Nilifikiri umepika mwenyewe bro.Nioe sababu ya kupikiwa bro
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Atadanganya kavamiwa na vibaka..[emoji23]Mkeo utamdanganya umefanyaje?
Kumbe na kuku wamu humu??Kuku kwenye mchele wengi
Kwanza atapona huyo? Pengine hata muda wa kudanganya hana...Atadanganya kavamiwa na vibaka..[emoji23]
Did you just wake up?
Usiwaze bro viph ulifanikisha kuchek ile ishuNilifikiri umepika mwenyewe bro.
Sorry [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hilo nalo nenoKwanza atapona huyo? Pengine hata muda wa kudanganya hana...