Huyu mzee nilikua namkumbusha anachoreka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole nimecheka sana. Kichwa na mbwembwe zote za pete leo ni bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenitoka nilijua ni habari tu za watu kumbe kweli hujatuliaNimerudi japo kwa aibu kubwa ila heri tu iwe uvyo ila nimerudi mama
Inaweza kurudia tenaBahati haiji mara mbili,nasema tu[emoji125] [emoji125]
DooohKuanzia sasa wewe ni kaka [emoji125] [emoji125]
We Mzee wewe@summyluv @summyluv naomba tuzungumze kidogo maana mi ni mpya wanauzi mashaidi
[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]Nilipaliwa tu mkuu
Wee mi simtaki la msingi anipe tu ile hela nilipe kodi ya watuNaona kaanza kukuimbisha tena
Basi Sawa...Ndio
Mdogo wa kichwa sio?nsamaka sio muda wa kuuliza maswali huu. Ingia ndani ulale, mimi nafika barabarani mara moja