Cole mzima wewe?Binti Mpole
Ahahaaa acha ujinga
Ungemfuata pm ingependeza.
Umefungua uzi unataka tujadili nini?
Hii si chit chat jamani angel?Ungemfuata pm ingependeza.
Umefungua uzi unataka tujadili nini?
Nimekumiss Rafiki yangu.wkend vipi?
Hahahaaa. Sasa ujumbe unamhusu mtu mmoja na hamna cha kuchangia zaidi ya kutujazia tuu.mamaaa!😉
Acha hizo bnaHahahaaa. Sasa ujumbe unamhusu mtu mmoja na hamna cha kuchangia zaidi ya kutujazia tuu.
Kumbe ni chitchat. Basi sasa tushauri tukoment nini ili na sisi tuchangie.Hii si chit chat jamani angel?
Nimekumiss Rafiki yangu.wkend vipi?
Kumbe ni chitchat. Basi sasa tushauri tukoment nini ili na sisi tuchangie.
Ahahaaa utakuwa kiwanja gani? Mimi nimelala tu hapa.sina pa kwenda marafiki wote wamenigeuka wanataka kunigegedaipo poa..nimevimbiwa samaki wa foil hapa..nafikiria nikatafute sweet wine...nanuka shombo la sato tu hapa...u?