Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1538202564769.jpg
 
Kuna jamaa anasema ule wasiwasi ndiyo raha yenyewe
Unajua. Hata kama una ishu ya nguvu za kiume siku hiyo mnara utakuwa 5G. Wasiwasi kibao moyo unakukurika damu ya kutosha kila mahali mchecheto balaa unaunganisha tu magoli hata kama siyo kawaida yako. Pengine ndiyo raha anayoizungumzia. Kimbembe ni pale ukisikia mlango unagongwa. System zote zinashut down otomatikale na badala yake inakuwa ni kuangalia option ya fight or flight....
 
Back
Top Bottom