huyu ndo Dr Shika???
Sikio la kufa.....Maskini Manchester united
Niaje kim, kwema hukoSalam moudgulf
Kila nikiingia humu najiona mgeni.Aiseh!
Huyo mod ni mpya hajui kuunga nyuzi ama ndo washaufanya huu uzi ni dampo??
Kama wameuchoka si waufute tu
Acha tu shem,uzi si kama ule wa zamani.
Kwema lakini?
Sometimes hata anayefumania hujikuta na mchecheto hasa kama hakutarajia jambo hilo . Kuna bro wetu mmoja kipande cha mtu, alishtukizwa akashikwa mkono kupelekwa gest, yani ile hamadi alimfumania dogo mmoja anacheza kidali poo na mkewe Jamaa alipoteza fahamu. Kuja kuamshwa dogo hayupo na mkewe mbio na nyumbani katoroka[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajua. Hata kama una ishu ya nguvu za kiume siku hiyo mnara utakuwa 5G. Wasiwasi kibao moyo unakukurika damu ya kutosha kila mahali mchecheto balaa unaunganisha tu magoli hata kama siyo kawaida yako. Pengine ndiyo raha anayoizungumzia. Kimbembe ni pale ukisikia mlango unagongwa. System zote zinashut down otomatikale na badala yake inakuwa ni kuangalia option ya fight or flight....
Alhamdulillah kwakweli mie mzima kabisa,nashukuru[emoji25][emoji120]Kwema kabisa, namshukuru Mungu. Unaendeleaje mamaangu?
Nimekuhamu balaaaaAlhamdulillah kwakweli mie mzima kabisa,nashukuru[emoji25][emoji120]
Nipo shem wake,sema naondoka kesho[emoji17][emoji17][emoji17]Nimekuhamu balaaaa
Habar za leo.
Mmmh 3-1[emoji38][emoji38][emoji38]Numbisa habari yako
Hapo sasa,wengi wana chuki na uzi wetu balaa. Kuna jamaa kule jukwaa la pongezi alianzisha uzi wa kutaka isis apewe pongezi kwa likes alizo nazo na comments,ila jamaa mmoja akajibu na kukejeli uzi wa likes,gues who likes his post,ts our dear JF founder,hapo ndipo nilipofahamu huu uzi haupendwi humu basi tu wenye JF hawana budi kuuvumiliaAiseh!
Huyo mod ni mpya hajui kuunga nyuzi ama ndo washaufanya huu uzi ni dampo??
Kama wameuchoka si waufute tu
Kila nikiingia humu najiona mgeni.
SAHIHI KABISA..KILA UZI UNA MAUDHUI YAKE
Wanasema mke wa mtu ni sumu...ila mume wa mtu maziwa!Halafu mke wa mtu hata raha hakuna. Wasiwasi tupu na hata ukifanikiwa nafsi inakusuta balaa. It is not worth it...