moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uwaambie kwa hali kama hiyo utasema nini?Nyumbani utawaambia nini?
Uwaambie kwa hali kama hiyo utasema nini?Nyumbani utawaambia nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkeo utamdanganya umefanyaje?
Kila jibu jepesi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utasema ulipanda pikipiki ikapita karibu na roli limepakia mabati?
Wewe mwenyewe utamwambia mkeo" ngoja kwanza nitibiwe tutayaongelea nyumbani "[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakika, jambo la muhimu jiweke mbali na wake za watuUnaweza kucheka ingawa si jambo LA kicheka hili
Ni vita kuu ya Dunia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha!! Lazima kuchafuke
niniSana
Ni kama mzaha ukisikia watu wanasema mke wa mtu hatariHakika, jambo la muhimu jiweke mbali na wake za watu
Nataka kubeti. Ushauri pleaseNi vita kuu ya Dunia
Lakini ikikutokea watu nje wanakuomba ufungue mlango,Hakika, jambo la muhimu jiweke mbali na wake za watu
Halafu mke wa mtu hata raha hakuna. Wasiwasi tupu na hata ukifanikiwa nafsi inakusuta balaa. It is not worth it...Ni kama mzaha ukisikia watu wanasema mke wa mtu hatari
Mbaya zaidi siku hiyo Huyo Mme wa mtu wako anaongea kwa sauti ya upole kabisa elewa ni hatari zaidi.Hakika, jambo la muhimu jiweke mbali na wake za watu
Kumbe na kuku wamu humu??
Ngoja na mimi nisimwage....nisijibu maswali!