Nataka kujua zaidi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Usitake nimwage mchele kwenye kuku Wengi najua wajua
Huu upweke utakuua[emoji124][emoji124][emoji124]Upweke
Mkuu mi nauheshimu mchezo wa.soka, ingawa ningependa Liver waibuke na ushindi lakini mwamuzi wa mwisho ni dk 90Kuna Wataalamu wa kubeti humu na huwa hawakoseagi. Ngoja kwanza nikaombe ushauri.
Mashabiki wa "This is Livapuu" mnasemaje? moudgulf tia neno. mzee wa liver. Wa bluu si wanapigwa leo?
"Kaite kwanza mzee wa mtaa, diwani wetu pamoja na polisi ndo nifungue"moudgulf rafikii fungua tuu,
Mie wala sina neno na wewe,
Fungua tuzungumze yataishaa tuu!!
Naomba nikupe ofa ya kukupikia weekend ijayo
We hufai kuwa mshabiki. Ushabiki gani huu sasa? Umenikata stimu yote ya kubeti [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mi nauheshimu mchezo wa.soka, ingawa ningependa Liver waibuke na ushindi lakini mwamuzi wa mwisho ni dk 90