myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:15
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna jamaa alifumaniwa, mwenyewe anadai akiwa ndani kwa mwanamke mara akamsikia mjomba wa mwenye mke hapo nje. "Mi nitaulinda huu mlango wewe kamwite mwenyewe hapo sokoni aje ajionee mwenyewe maana kila tunavyomwambia haamini". Jamaa baada kujiuliza akaona ni heri apambane na huyo mzee kuliko kusubiri ujio wa mwenye mke. Hapo nje vumbi lilitimka lakini afanikiwa kuondoka ingawa pia alikula ngumi za kutosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]moudgulf rafikii fungua tuu,
Mie wala sina neno na wewe,
Fungua tuzungumze yataishaa tuu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna jamaa alifumaniwa, mwenyewe anadai akiwa ndani kwa mwanamke mara akamsikia mjomba wa mwenye mke hapo nje. "Mi nitaulinda huu mlango wewe kamwite mwenyewe hapo sokoni aje ajionee mwenyewe maana kila tunavyomwambia haamini". Jamaa baada kujiuliza akaona ni heri apambane na huyo mzee kuliko kusubiri ujio wa mwenye mke. Hapo nje vumbi lilitimka lakini afanikiwa kuondoka ingawa pia alikula ngumi za kutosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha"Kaite kwanza mzee wa mtaa, diwani wetu pamoja na polisi ndo nifungue"
Huo ndiyo ushabiki halisi, mambo ya kupeana stress siyapendagiWe hufai kuwa mshabiki. Ushabiki gani huu sasa? Umenikata stimu yote ya kubeti [emoji16][emoji16][emoji16]
Binti MpoleMpoooooooo nyieeeeeeeeeeView attachment 881444
Alikua na bahati yake kuambulia ngumi kama arobaini tu![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna jamaa alifumaniwa, mwenyewe anadai akiwa ndani kwa mwanamke mara akamsikia mjomba wa mwenye mke hapo nje. "Mi nitaulinda huu mlango wewe kamwite mwenyewe hapo sokoni aje ajionee mwenyewe maana kila tunavyomwambia haamini". Jamaa baada kujiuliza akaona ni heri apambane na huyo mzee kuliko kusubiri ujio wa mwenye mke. Hapo nje vumbi lilitimka lakini afanikiwa kuondoka ingawa pia alikula ngumi za kutosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu wa Manchester huyu kocha tusimuachie kirahisi!
Aseeee, ukiwa na bahati mbaya aanze michezo ya Likoni Mombasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alikua na bahati yake kuambulia ngumi kama arobaini tu!
Mbaya zaidi ni kukamatwa ugoni wewe ukiwa umejifungia ndani!
Mtu anakushauri ufungue mlango kwa ahadi hana tatizo na wewe,
Ana shida na mkewe tu.
Kumbe huko nje anasaga meno na kutafakari adhabu gani itakufaa,
Anafikiri panga alitume lifikie kichwani, shavuni,shingoni,kwenye pua au tumboni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu wa Manchester huyu kocha tusimuachie kirahisi!
Anatufaa mno hasa ktk kipindi hiki.