Ahahaaa utakuwa kiwanja gani? Mimi nimelala tu hapa.sina pa kwenda marafiki wote wamenigeuka wanataka kunigegeda
ππ sipo huko..ht mm nampenda!...ana kauhuru fulan amazingNdiyo nampenda ila siyo stail unayodhani wewe.
Walaa siwategi nawaona tu kama kaka zangu.naona hawataki tena ukaka etihahhahahha!yelewiiiiiii....auunawatega? mm sijawah fikiria kuwa na rafiki wa kiume,,kwanza siwezi...pole...ndo nawaza hapa nitoke tu nduki..kiu cha wine hakielezek
Kausha mchina
badili gia angani..Walaa siwategi nawaona tu kama kaka zangu.naona hawataki tena ukaka eti
Ahahaaa kawaida tuTumeletwa wapi tena huku
πππhuyu mzee namuonea huruma sanaAsante kwa kazi inayioneshwa na vijana wakoView attachment 881484
leo lazima mtapike makwasukwasuππJe leo furaha itaendelea pale darajani? View attachment 881485
bado anajenga timyUdumu daimaView attachment 881483
huyu ndo Dr Shika???
Mi ni chelsea lakini mkeka wangu Nimeweka sare hii match na mkeka mwingine nimeipa ushindi chelsealeo lazima mtapike makwasukwasuππ