myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππUnajua. Hata kama una ishu ya nguvu za kiume siku hiyo mnara utakuwa 5G. Wasiwasi kibao moyo unakukurika damu ya kutosha kila mahali mchecheto balaa unaunganisha tu magoli hata kama siyo kawaida yako. Pengine ndiyo raha anayoizungumzia. Kimbembe ni pale ukisikia mlango unagongwa. System zote zinashut down otomatikale na badala yake inakuwa ni kuangalia option ya fight or flight....
Mi huku ni mwenyeji. Njia ya kurudi kwenu kwa kweli siijui kwa sababu hata sijui mlikotoka. Bakieni tu hapa hapa [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu wewe ni mwenyeji huku?
Naomba unionyeshe njia ya kurudi kule tulipokuwa kabla ya kuletwa huku.
Wenyewe wanasemaga "the riskier the investment, the greater the returns" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara paaaap Jirani kafumaniwa. Maweeeeee !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli...Wenyewe wanasemaga "the riskier the investment, the greater the returns" [emoji16][emoji16][emoji16]
ππππππMara paaaap Jirani kafumaniwa. Maweeeeee !!!
Kwa nan tena jamani?Demiss naomba uwe wifi yangu
Akakate kabisa tiketi yake ya kwao Ureno[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Udumu daimaView attachment 881483
Anasomeshwa namba kama yupo TZ[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante kwa kazi inayioneshwa na vijana wakoView attachment 881484
πππhuyu mzee namuonea huruma sana
Hata mkipata sare mshangilie maana utakuwa ni ushindi kwenuMi ni chelsea lakini mkeka wangu Nimeweka sare hii match na mkeka mwingine nimeipa ushindi chelsea
Na hapa ni chelsea kushinda au Kupata sare kati ya hayo mawili
Nani ashangilie sasa labda nyinyi fans wa LiverpoolHata mkipata sare mshangilie maana utakuwa ni ushindi kwenu
Amini usiamini kama chelsea hatashinda itaisha kwa sare na ndio maana nimecheza mikeka miwilipole sana Eden leo mnaweza msichomoke mechi kama hizi mi huwa siziwekei mkeka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wakikusikia ni matusi tuVile Kamati Ya Rohombaya Tunaangalia Hii
Game Ya Manure
Mou Ni Kocha Mzuri Apewe Muda Aijengeπππ