Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Chozi mwaa[emoji3] [emoji3]Hakuna wa kumcheka mwenziye? Msimu huu mtalia sana kudadadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 881752
Asante sana bro ngoja nichek alafu nitakupa mrejeshoMe, Myself and I..
Ule mzigo nimeupata bro na tayari nimeshakutumia. Angalia halafu unijulishe kama kila kitu kiko sawa. Jumapili njema bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Shikamoo shemela
Marahaba kabisa. Jumapili inaendeleaje?Shikamoo shemela
Ni njema kabisa,tubarikiwe soteMarahaba kabisa. Jumapili inaendeleaje?
Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]