myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo wetu ni muhimu sana
Mkuu umenikosha sana. Wanyakyusa ni tatizo kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Mbeyaaaaaa [emoji732]️[emoji732]️[emoji732]️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596]View attachment 881987
Habari ya asubuhi majirani,muwe na jumapili njema yenye baraka
Njema sweetlee za kwakoHabari za Jumapili Wapendwa wa Mungu.
AminMuwe na Jumapili iliyojaa Baraka
AaminNilikuwa naomba kupambazuke...nashkuru Mungu kumekucha...ningali hai........ ..... ....hayo mengine ni matarajio ya moyo.... ..na njozi njema zilizopotea!
Niwatakie siku njema yenye baraka na neema nyingi kama matone ya mvua ..... ..
Aseee, Malaika anapopolewa huko. Kweli watu wamechoka longolongo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwenzetu vampire umri umeganda
Mange katokwa povu ila sasa followers wake wamemchoka full kumpa madongo
Amina, sote tumepokea baraka za wiki nzima,Aamin