Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwenzetu vampire umri umeganda

Mange katokwa povu ila sasa followers wake wamemchoka full kumpa madongo

Yaani miaka yake imeganda khaa!!

Dada wa taifa watu wamemchoka sasa hivi,hana mashiko kama ilivyokuwa mwanzo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jina limeshawahiwa tafuta hata manzese sweetihati bana
Au nijiite koromije switihati?[emoji23][emoji23]ila naogopa wasukuma wasijenipiga mawe.

Ila sijui aliwaza nini hadi kusema vile eti buguruni sweetheart[emoji23][emoji23]
 
Mkuu. Nawe umeenda kula ubuyu? Nasikia na misemo mipya. Eti Buguruni Sweetheart. Sijui ndo nini....

Dada wa taifa angeweza kuwa mwanaharakati mzuri. Shida yake matusi na ugomvi na kila mtu. Watu evenchuale watamchoka ndiyo....

Hata shangazi wa taifa naye anaelekea huko huko. Kushadadia kila ishu hata kama ni ndogo namna gani...In life you have to choose the battles that are worthy fighting for siyo kila kitu we umo tu. Kha !!!
Hapana, mi sijawahi kwenda huko. Huwa naona ona wafuasi wake wanavyomwagia sifa
 
Au nijiite koromije switihati?[emoji23][emoji23]ila naogopa wasukuma wasijenipiga mawe.

Ila sijui aliwaza nini hadi kusema vile eti buguruni sweetheart[emoji23][emoji23]
Ngoja nijiite JF switihati mweee mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasukuma wanakupenda hivyo wakiongozwa na broo wee jiite tu

Kuna kitu makonda anakifahamu ndo maana akasema hivyo
 
446423693_328890.jpeg
 
Back
Top Bottom