Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fenesi
Sasa kwa nia gani bageshiSiyo kwa nia mbaya/nzuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Nia ya katikati....nia neutral...Sasa kwa nia gani bageshi
Gemu saa ngapi kamanda?
Hapo haijulikani ghafla kawa mpole kisiasa kabaki kutukanana na akina wema, wastaraAmeshaacha kukosoa serikali. What happened? Amefakamishwa pande la keki mdomoni ama?
Mambo yameshaanza kumuendea mlama. Alizidi sana kutaka kupangia watu maishaKabisaa,sasa huku kwenye ubuyu ndo anapotea maana watu wa team zao.
Halafu siku hizi akiposti kitu baada ya mida anafuta,sijui anaogopa nini.
Na sijamuona kumjibu esma,faiza wala wastara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bana banaNakuona unanichokoza tu. Kitakachokupata kitakupata mpaka ukipate upatikane....[emoji16][emoji16][emoji16]
Nibembelezee nitolewe kwenye iginoa listi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bana bana
Sijajua lakini kwa presh ya timu hizi nina hakika itakuwa mapema jioniGemu saa ngapi kamanda?