[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbeyaaaaaa [emoji732]️[emoji732]️[emoji732]️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596]View attachment 881987
Asante mkuuNjema Tumosa, karibu sana
Albadin aliyo kugutwa nayo iko kazini walahiAlichokosea na kustaafu kuikosoa serikali na kuanza kuweka ubuyu mbele akodhan insta ni u turn,wengi walimpendea ni kumkosoa bwana jiwe
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu umenikosha sana. Wanyakyusa ni tatizo kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna ukweli hapo.Mbeyaaaaaa [emoji732]️[emoji732]️[emoji732]️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596][emoji3596]View attachment 881987
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alipigwa albadir, duuuAlbadin aliyo kugutwa nayo iko kazini walahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka atapata wapinzaniKuna ukweli hapo.
Acha tushangilie,naamini na nauli itapungua sasa
Aisee!! Nimekuja kumuona mara moja bwana mkubwa huku shamba,kama barabara itakuwa rafiki itanibidi nipitilize nije nikuone tu.Natamani ingekuwa leo[emoji124][emoji124][emoji124]
Bado kidogoLeo ndiyo leoView attachment 882083
Duh!We sema cho chote unachotaka. Kama kiko ndani ya uwezo wangu utaletewa...Gold Crest chumba namba 82 [emoji16][emoji16][emoji16]