Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa!!tena ngoja nikakuanzishie na uzi wa kukutambulisha kabisa.
Ila ukae mkao wa ligi maana kila mtu atakuja na switihati wake[emoji23][emoji23]



Ngoja nijiite JF switihati mweee mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasukuma wanakupenda hivyo wakiongozwa na broo wee jiite tu

Kuna kitu makonda anakifahamu ndo maana akasema hivyo

Queen of tz drama na mr zero si mashosti sasahivi tangu amerudi chama cha matapeli,lazima amtetee.

Ila mwanaume kuingilia ugomvi wa wanawake ni umama
 
Kabisaa,sasa huku kwenye ubuyu ndo anapotea maana watu wa team zao.

Halafu siku hizi akiposti kitu baada ya mida anafuta,sijui anaogopa nini.
Na sijamuona kumjibu esma,faiza wala wastara
Alichokosea na kustaafu kuikosoa serikali na kuanza kuweka ubuyu mbele akodhan insta ni u turn,wengi walimpendea ni kumkosoa bwana jiwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua ligi ya maana tu ila jina litakua limepita

Kama kiongozi hakutakiwa kutoa maoni yale,pugi simfagilii ula siungi mkono kushambuliwa hadi na viongoz wa serikali
 

Hakutakiwa kuwa na team angebaki neutral,sema ndo vile hawezi lazima aonyeshe mahaba kwa watu wake.
Ila pugi anapata shida jamani.

Hivi ni kweli parachichi la taifa linatoka na irene??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…