carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
kwani hata nimeondoka basi?[emoji23][emoji23]Aisee!! Nimekuja kumuona mara moja bwana mkubwa huku shamba,kama barabara itakuwa rafiki itanibidi nipitilize nije nikuone tu.
Nimekuhurumia sana. Ahsante kwa upendo
Leo nimeshindwa mambo yameingiliana