carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
kwani hata nimeondoka basi?[emoji23][emoji23]Aisee!! Nimekuja kumuona mara moja bwana mkubwa huku shamba,kama barabara itakuwa rafiki itanibidi nipitilize nije nikuone tu.
Nimekuhurumia sana. Ahsante kwa upendo
Na alivyo na mashauzi sasa[emoji23] acha kabisa.Uteam anao tangu alipokubali ulezi wa wcb na vile wema nae kaenda chaman na kujisogeza wcb baasi jamaa anaona bora alipe fadhila
Chezea juisi za andjul wewe,nenerefu linanesanesa,huku mfukon pesa zipo wacha bintiajifaidie ila sasa sijui ni kweli au si kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjini patamu sanakwani hata nimeondoka basi?[emoji23][emoji23]
Leo nimeshindwa mambo yameingiliana
Maana yake watakuwa wamerudiana!!Na alivyo na mashauzi sasa[emoji23] acha kabisa.
Sema kama ni kweli heri yabaki ya sirini maana jamaa naye hajambo kwenye kuwaanika na kuwapiga vijembe.
Sema na yeye ajiandae kupambana na mama mkwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem acha tu,mjini pazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjini patamu sana
Nikitoka kwa huyu mnaa nitakupandia kwenye mnazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem acha tu,mjini pazuri
Maana yake watakuwa wamerudiana!!
Hivi NGONO ni nini?