Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

42003870_2051930075118068_2389627685496732984_n.jpg
 
Eti Niseme unakoelekea siko??

Shimba...

Naongea nilichonacho...kwa vile humu niko huru...na naweza ongea lililopo hata deepdown my heart!
Si vile .."mambo ya mitandaoni"....

He/ She never know maana...hawezi jua!

Au nilikosea ilikuwa niandike ...

You don't know!...
Kiingereza sijui mkuu hivyo sina hata fununu unachojaribu kusema. Ukijibu swali uliloulizwa hapo juu nitag...

Halafu ni hivi: Ndiyo uko huru kuongea ulichonacho. Watu wengine pia wana haki ya kuongelea ulichoongelea (kistaarabu). Kibinadamu tu nadhani tumeshtushwa na kauli yako kwamba eti unatamani ni heri kama ungekuwa umeshakufa. Siyo kauli ya kawaida hii ndiyo maana tunauliza uliza maswali. Kuna watu wa kila aina huku na kama kweli umefikia hatua hiyo kuna washauri nasaha wanaweza kukusaidia. Na hii ni kwa nia njema kabisa.

Barikiwa!!!
 
Me pia nlishtushwa kiasi, sikuhoji sababu tayari mlikwisha hoji.
Nasubiri majibu
 
Back
Top Bottom