Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

42395943_346232506116544_908162150054256319_n.jpg
 
Nimekuelewa..
Na.. sipingi watu kuongelea...
Inanisaidia pia tena sana... ..humu .. niko huru kuongea chochote kwa vile ni mbali na nilipo...sio kama najiskia vibaya...,
ukiongea wewe na mwingine..kwangu ni faraja .. .

Nimesema kweli..I wish....

Pole kwa nilio wakwaza...hata hivyo mmejali hadi kuniuliza... ...
Nitamjibu..nitakacho weza....hata kama si hapa!
Muhimu ni pumzi sio kufa huku unakwenda!

Tuko pamoja bro haya tuendelèe na likes..
Yote yanayo/yaliyokusibu yatapita.
Hakuna jambo gumu linalokaa milele.
 
Back
Top Bottom