Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuhojiwa alitueleza kuwa kuwa anaishi Mabibo (anapoishi mama yake mzazi). Baadaye sana akasema anaishi maeneo haya (Bonyokwa) na hapo akamtaja Joshua. Kwa kuwa Mama wa Joshua tunamjua ndipo tukafanikiwa kumkutanisha na mzazi wake.”

Baba wa Thomas alipoulizwa kuhusu kunyanyaswa kwa mtoto huyo alikana akisema, “Hanyanyaswi isipokuwa nimekuwa nikimpiga ikiwa atachelewa kurudi nyumbani. Huyu mtoto ni mtukutu namwadhibu mara nyingi tu hata walimu wake shuleni wanafahamu kuhusu matatizo yake.
 
Mama anayeishi na mtoto huyo Anna-Mery Rwehumbiza alipoulizwa kuhusu madai ya Thomas alisema, “Huyu mtoto hanyanyaswi hapa nyumbani, anapewa malezi kama watoto wengine na si mara ya kwanza kupotea. Agosti 29 alipotea na tulimtafuta, alirudi hapa nyumbani saa sita usiku kwa kuletwa na mtu alipoulizwa hakuwa na majibu ya uhakika.”

Awali, Joshua alieleza kuwa, “Thomas amekuwa akilalamika kuwa ananyanyaswa na mama yake wa kambo, niliona nimsaidie. Zile CD niliziokota na ilikuwa tukaangalie jioni.”
 
Kilio cha mama mzazi

Licha ya matukio hayo, Lucy Dembe ambaye ni mama mzazi wa Thomas alisema hajaonana na mwanaye kwa miaka mitatu.

Huku akilia machozi karibu muda wote wa mahojiano, mama huyo alisema, “Awali walikuwa wakiishi Mabibo (baba watoto wake), lakini walihama kwa kunikimbia nisimuone mwanangu. Ninaumia kwa sababu hata matukio ya mtoto siyajui nafanya kusikia hapa wanaponieleza. Mtoto alipotea Jumatano taarifa nimepewa Ijumaa sitendewi haki.” alisema Lucy
 
Afya ya mama wa mtoto

aliyetekwa kimafia asema

Licha ya wazazi wa Idrissa Ally (13), mtoto aliyepotea Jumatano iliyopita baada ya kuchukuliwa na mtu asiyejulikana akiwa anacheza na wenzake kuwa na imani kwamba watampata akiwa hai, afya ya mama yake mzazi imedhoofika kutokana na tukio hilo.

Mama huyo, Leila Kombe alisema jana kuwa kadri siku zinavyozidi kwenda, hali yake kiafya inazidi kuwa mbaya na kuomba kwa yoyote atakayemuona mwanaye atoe taarifa.

Mbali ya ombi hilo, alimuomba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kuingilia kati suala hilo ili mtoto wake huyo apatikane.

Idrissa, mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Princes Gate alichukuliwa Jumatano iliyopita saa 11 jioni eneo la Tegeta Masaiti jijini hapa.
 
Mtoto huyo alichukuliwa na dereva mwanamume aliyekuwa katika gari aina ya Toyota IST, ambaye baada ya kuwafukuza marafiki waliokuwa wakicheza naye, alitoa kichupa kidogo kinachodhaniwa ni ‘spray’ na kumpulizia mtoto huyo na hatimaye kumuingiza katika mlango wa nyuma wa gari lake na kutokomea naye kusikojulikana.

“Sasa hivi miguu yangu yote imeishiwa nguvu, sina raha kabisa leo (jana) siku ya tatu mwanangu sijui alipo. Sijui anakula nini huko, nazidi kumuomba Mungu,” alisema.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hili la nyege nikadhani mtu anaweza kuhemkwa na akatafuta pa kuhemkia haja zake bila kujali vigezo.

Sasa yule pimbi yeye kiburoroo chake kimepoteza kabisa maana ya Nyege, hana muda wa kujinyegesha tena... Ana kazi ya kukipepea kisimame na kutumbukiza kila kiaraza kilicho mbele yake. Nachoka mimi[emoji56][emoji56][emoji56]
Hahahahahahah jaman
 
FB_IMG_1535642801640.jpg
 
Back
Top Bottom