Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1533598422293.jpg
 
Kilio cha mama mzazi

Licha ya matukio hayo, Lucy Dembe ambaye ni mama mzazi wa Thomas alisema hajaonana na mwanaye kwa miaka mitatu.

Huku akilia machozi karibu muda wote wa mahojiano, mama huyo alisema, “Awali walikuwa wakiishi Mabibo (baba watoto wake), lakini walihama kwa kunikimbia nisimuone mwanangu. Ninaumia kwa sababu hata matukio ya mtoto siyajui nafanya kusikia hapa wanaponieleza. Mtoto alipotea Jumatano taarifa nimepewa Ijumaa sitendewi haki.” alisema Lucy
Totally sad walahi
Huyo mtoto lazima arudishwe kwa mama yake tu walahi
 
Mtoto huyo alichukuliwa na dereva mwanamume aliyekuwa katika gari aina ya Toyota IST, ambaye baada ya kuwafukuza marafiki waliokuwa wakicheza naye, alitoa kichupa kidogo kinachodhaniwa ni ‘spray’ na kumpulizia mtoto huyo na hatimaye kumuingiza katika mlango wa nyuma wa gari lake na kutokomea naye kusikojulikana.

“Sasa hivi miguu yangu yote imeishiwa nguvu, sina raha kabisa leo (jana) siku ya tatu mwanangu sijui alipo. Sijui anakula nini huko, nazidi kumuomba Mungu,” alisema.
Mola aingilie kati walahi so sad jamani
 
Back
Top Bottom