capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemiss sana JFHatariii uzi una comments 897,000 magufili hakawii kutangaza idadi ya comments zijenge wodi akidhani ni hela inaelea elea tu JF Alafu wenye uzi akatumbuliwa hahaha
Gr8Tutaongea bidii walau ifikie milion!
Kamkosea kwa lipiThis is too much!!!!Unamkosea mungu.
WHU anakupa hi
SYB mambo vipiMuda mrefu sana pia nimetaka kuuliza swali hili. Mambo ya mtandaoni haya you just never know..anyway ukijibiwa nitag [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sijambo.....umepotea sanaHamjambo humu ndani
Kiingereza sijui mkuu hivyo sina hata fununu unachojaribu kusema. Ukijibu swali uliloulizwa hapo juu nitag...Eti Niseme unakoelekea siko??
Shimba...
Naongea nilichonacho...kwa vile humu niko huru...na naweza ongea lililopo hata deepdown my heart!
Si vile .."mambo ya mitandaoni"....
He/ She never know maana...hawezi jua!
Au nilikosea ilikuwa niandike ...
You don't know!...
Pole na pilika pilika za mazishi ya ndugu zako mkuu. Karibu tena na Mungu Aendelee kukutia nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemiss sana JF
Ohoo mambo vipi nipo majukumu kwa sana mwaka unakaribia kwisha malengo yapo negative najaribu kuweka sawaSijambo.....umepotea sana
Nipo kamanda. Pole kwa misukosuko iliyokupata na karibu tenaSYB mambo vipi
Mia mia[emoji818] [emoji818] View attachment 882619
Aiseee...[emoji818] [emoji818] View attachment 882619
Consuela nmekumiss,Sijambo.....umepotea sana
Me pia nlishtushwa kiasi, sikuhoji sababu tayari mlikwisha hoji.Kiingereza sijui mkuu hivyo sina hata fununu unachojaribu kusema. Ukijibu swali uliloulizwa hapo juu nitag...
Halafu ni hivi: Ndiyo uko huru kuongea ulichonacho. Watu wengine pia wana haki ya kuongelea ulichoongelea (kistaarabu). Kibinadamu tu nadhani tumeshtushwa na kauli yako kwamba eti unatamani ni heri kama ungekuwa umeshakufa. Siyo kauli ya kawaida hii ndiyo maana tunauliza uliza maswali. Kuna watu wa kila aina huku na kama kweli umefikia hatua hiyo kuna washauri nasaha wanaweza kukusaidia. Na hii ni kwa nia njema kabisa.
Barikiwa!!!
Nimekumiss piaConsuela nmekumiss,