Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni mgeni kidogo kwenye uzi huu naona. We care here ndiyo maana tumehoji. Ingekuwa huko kwingine angekuwa keshaambiwa aende akaji-off asubuhi na mapema.Me pia nlishtushwa kiasi, sikuhoji sababu tayari mlikwisha hoji.
Nasubiri majibu
Ni mgeni kidogo kwenye uzi huu naona. We care here ndiyo maana tumehoji. Ingekuwa huko kwingine angekuwa keshaambiwa aende akaji-off asubuhi na mapema.
Nimekuelewa..Kiingereza sijui mkuu hivyo sina hata fununu unachojaribu kusema. Ukijibu swali uliloulizwa hapo juu nitag...
Halafu ni hivi: Ndiyo uko huru kuongea ulichonacho. Watu wengine pia wana haki ya kuongelea ulichoongelea (kistaarabu). Kibinadamu tu nadhani tumeshtushwa na kauli yako kwamba eti unatamani ni heri kama ungekuwa umeshakufa. Siyo kauli ya kawaida hii ndiyo maana tunauliza uliza maswali. Kuna watu wa kila aina huku na kama kweli umefikia hatua hiyo kuna washauri nasaha wanaweza kukusaidia. Na hii ni kwa nia njema kabisa.
Barikiwa!!!
Amina mkuuPole na pilika pilika za mazishi ya ndugu zako mkuu. Karibu tena na Mungu Aendelee kukutia nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Atakuwa msimbazi huyu
Pole sana Bro, naamini utakaa sawa tu.Nimekuelewa..
Na.. sipingi watu kuongelea...
Inanisaidia pia tena sana... ..humu .. niko huru kuongea chochote kwa vile ni mbali na nilipo...sio kama najiskia vibaya...,
ukiongea wewe na mwingine..kwangu ni faraja .. .
Nimesema kweli..I wish....
Pole kwa nilio wakwaza...hata hivyo mmejali hadi kuniuliza... ...
Nitamjibu..nitakacho weza....hata kama si hapa!
Muhimu ni pumzi sio kufa huku unakwenda!
Tuko pamoja bro haya tuendelèe na likes..
Asante mkuuNipo kamanda. Pole kwa misukosuko iliyokupata na karibu tena
Sema mzee wa liver! Mambo vipi Chief.?Atakuwa msimbazi huyu
Amun RaNimekuelewa..
Na.. sipingi watu kuongelea...
Inanisaidia pia tena sana... ..humu .. niko huru kuongea chochote kwa vile ni mbali na nilipo...sio kama najiskia vibaya...,
ukiongea wewe na mwingine..kwangu ni faraja .. .
Nimesema kweli..I wish....
Pole kwa nilio wakwaza...hata hivyo mmejali hadi kuniuliza... ...
Nitamjibu..nitakacho weza....hata kama si hapa!
Muhimu ni pumzi sio kufa huku unakwenda!
Tuko pamoja bro haya tuendelèe na likes..
YapVery true, naamini amejifunza sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaNumbisa na Poti wako. Kesho yaani ni kama vile nawaona mtakavyotinga job [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 882626
kwamba.... ...Very true, naamini amejifunza sasa.
Mambo safi mkuu chelsea kaninyima point mbili janaSema mzee wa liver! Mambo vipi Chief.?
Mambo vipi Chief,kwamba.... ...
Mkuu tugonge likes mjadala huu muufungekwamba.... ...
Hah hahaMambo safi mkuu chelsea kaninyima point mbili jana