Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daughters are a special blessing [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
2018-05-24%2016.26.51%201786340568001401967_489392908.jpeg
 
Asante bro. Nami nimekuelewa sana.

Hata hivyo napenda nikwambie kitu kimoja. Mwaka jana mwezi wa 12 binafsi nilipitia kipindi kigumu sana na nilikuwa mbali na nyumbani. Kidogo nikate tamaa. Kilichonisaidia ni watu wa hapa hapa katika uzi huu. Kuna watu walikuwa tayari kunisikiliza, kunitia moyo, kunishauri na hata kuniombea. Na kwa vile hakuna tatizo linalodumu milele kweli kipindi hicho kigumu kilipita na maisha yakaendelea. Hapa tunaweza kugongana mara moja moja pengine kwa sababu za kisiasa, mapenzi, dini na hata matani yaliyozidi kipimo lakini ukweli tunaishi kama ndugu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa kama unataka kubadilishana mawazo jisikie huru kuongea na wadau hapa. Na zaidi ya yote Mtegemee Mungu.

Ni hayo tu mkuu. Mungu Aendelee kutubariki sote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Tule likes sasa tena kwa roho safiii...
Asante kwa kunielewa...mkuu...

Na mimi nimekuelewa.... zaidi kwa mfano
wako hai!
 
Back
Top Bottom